Kinasa sauti kinaongeza uthabiti zaidi katika mikutano, mihadhara, mazoezi ya bendi, kumbukumbu za familia na chochote unachotaka kurekodi. Kinasa sauti hunukuu na kuwekea lebo kiotomatiki unachorekodi ili uweze kupata kwa urahisi sehemu muhimu kwako. Hifadhi, hariri, ruhusu ufikiaji, andaa muhtasari au hata usikilize baadaye. Kinapatikana kwenye Wear OS kikiwa na kigae maalum cha sura ya saa ili kurekodi matukio na maoni kwa haraka kwenye simu au Pixel Watch yako.
Ilisasishwa tarehe
23 Apr 2025